Enzi in swahili what is rafiki doing

Glosbe uses cookies to ensure you get the best experience
Got it!

Less frequent translations

honor someone inaugurate install invest with power respect someone
Ndivyo watawa wa kiume, watayarishaji wa ramani wa Enzi za Kati, walivyouona ulimwengu walimoishi ndani yake. "
So the monks, map makers of the Middle Ages, saw the world they lived in. "
Wageni wanaweza kuwazia enzi za wakoloni wanapotembea kando ya kuta za mji huo na majengo ya zamani.
Visitors can imagine life in colonial times as they walk alongside the city walls and explore the ancient buildings.
2 Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova ameapa kwa utakatifu wake,
2 The Sovereign Lord Jehovah has sworn by his holiness,
Hata hivyo, Biblia inaeleza kwamba mwanzoni mwa historia ya wanadamu, enzi kuu ya Yehova ilipingwa.
However, the Bible explains that early in human history, Jehovah’s sovereignty what challenged.
(Amosi 3: 2) Hata hivyo, mwendo wao wenye dhambi ulionyesha madharau kwa jina na enzi kuu ya Mungu.
(Amos 3: 2) However, their sinful course showed contempt for God’s name and sovereignty.
Yeye ndiye Bwana Mwenye Enzi Kuu ya ulimwengu wote, na kuwa rafiki yake ndilo pendeleo kubwa zaidi.
After all, he is the Sovereign Lord of the universe, and friendship with him is the greatest of all privileges.
Lakini enzi kuu ya Yehova ni tofauti kabisa na utawala wowote wa mwanadamu.
But Jehovah’s sovereignty is quite unlike any human rulership.
Katika Ulaya Enzi za Kati zilifanana sana na Enzi za Giza.
In Europe the Middle Ages were broadly synonymous with the Dark Ages.
11 Kwa maana Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova anasema hivi:
11 For this is what the Sovereign Lord Jehovah says:
Anakumbushia enzi za miaka ya mwanzo ya ujana wake, pale alipokuwa kwenye mahusiano na mvulana mdogo.
She recalls her earlier years of adulthood, when she was with a young man.
Kusali Ili Enzi Kuu ya Yehova Itetewe
Pray for Jehovah’s Vindication
Kichwa kikuu cha Biblia ni kutetewa kwa enzi kuu ya Yehova Mungu kupitia Ufalme wa kimbingu.
The vindication of Jehovah God’s sovereignty by means of the heavenly Kingdom is the Bible’s theme.
Kisha yule aliyeketi juu ya kiti cha enzi akasema, ‘Tazama, nafanya yote mapya.’
And the one seated on the throne said: ‘Look! I am making all things new. ’
Hawa ni watu ambao walikua katika enzi ambayo salamu ya mkono ilitosha kuhakikisha kwamba mkataba umefanywa. "
These are people who grew up in an era when a man’s handshake was as good as his word. "
Katika enzi hii ya kompyuta, huenda ikaonekana kuwa rahisi sana kumpata mwenzi mnayepatana.
In this age of the computer, finding a compatible mate may seem to be just a few clicks away.
Kusaga kumehusisha nini katika enzi ambazo zimepita?
What has milling involved through the ages?
Katika enzi ya kale nyota hizi hazikupangwa kuwa sehemu ya kundinyota maalumu.
In the Construction of these pioneer seminaries not a nail was used.
Baadhi ya viongozi wa ulimwengu wanahisi kwamba tuko caribou sana na enzi mpya ya amani. Ever!
Some world leaders feel we are on the verge of a new age of peace.
Ndiye pia Mwenye Enzi Kuu halali.
He is also the rightful Sovereign.
Muda mfupi baada ya matukio katika Edeni, malaika wengine walijiunga katika uasi dhidi ya enzi kuu ya Yehova.
Not long after the events in Eden, other angels joined the rebellion against Jehovah’s sovereignty.
Kuna uhusiano gani kati ya suala la enzi kuu na kuwa mbinafsi au mkarimu?
How is our being selfish or unselfish connected with the universal issue?
Kutakasa jina la Yehova na kutegemeza enzi yake kuu
Sanctify Jehovah’s name and uphold his sovereignty
Nimeweka kimbilio langu katika Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova. ”- Zab.
In the Sovereign Lord Jehovah I have placed my refuge. " —Ps.
The most popular queries list: 1K, ~ 2K, ~ 3K
Glosbe
Proudly made with ♥ in Poland